Yanga Yanyakua wawili dirisha dogo

Bruno Kaitaba

 Klabu ya soka ya Yanga Sc imefunga Dirisha dogo la usajili kwa kuthibitisha usajili wa winga wa kimataifa kutoka DR Congo Jonathanani Ikangalabo na Mlinzi Israel Mwenda Nyota mzawa akitokea klabu ya Singida Black star

 Ikangalabo ametua Yanga akitokea klabu ya As Vita ya DR Congo akisaini Mkataba wa miaka Miwili

Ni usajili ambao Yanga waliukamilisha wiki Kadhaa zilizopita huku kitu ambacho walikuwa wamekisubiri ni kukamilisha taratibu kabla ya Utambulisho.


Post a Comment

Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.