MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024
Katibu mtendaji necta Dkt Said A. Mohamed akitangaza matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2024 , amesema ufaulu umeongezeka kwa asilimia 3 kulinganisha na mwaka uliopita 2023 na ubora wa ufaulu umeongezeka kwa asilimia 5.6.Aidha amesema wahitimu wote waliofaulu jumla ni 477,262 ambapo 249,078 ni wanawake sawa na asilimia 52 na 228,184 ni wavulana sawa na asilimia 48.Ubora wa ufaulu kwa wanafunzi wa kiume ni asilimia 54 na kwa wanafunzi wa kike ni 46 kwa maana hiyo wanafunzi wa kiume wamefaulu vizuri kuliko wa kike BOFYA HAPA KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024