Yanga wanatambua kuwa wanakibarua kizito dhidi ya MC Alger

Bruno Kaitaba
Kocha wa klabu ya Yanga Sc amesema kuwa anatambua umuhimu wa mchezo wa kesho dhidi ya Mc Alger kwani mchezo huo ndio ulio beba hatima ya klabu “Tunajua umuhimu wa mchezo unaokuja, sio kwetu tu tunajua hata wapinzani wetu wanajua wanahitaji nini, nina matumaini makubwa kutokana na namna wachezaji wangu wanajitoa na kuelewa mfumo wangu, kesho tunakwenda kujitoa kwa kila iwezekanavyo. Tunakwenda kulipuka kama moto kuhakikisha tunaweka utawala katika mchezo huo” Sead Ramovic

Post a Comment

Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.