Mchezo wetu dhidi ya MC Alger utakuwa mgumu Dickson Job

Bruno Kaitaba
Wachezaji wa klabu ya Yanga wamesema kuwa Wako vizuri na wamekipanga vyema kuipambania timu katika mchezo wao wa kesho dhidi ya Mc Alger Alger katika uwanja wa Benjani Mkapa mchezo ambao utaamua hatima ya Yanga kuendelea katika hatua ya robo fainali au kuishia hatua ya makundi. “Wachezaji tupo tayari kwa mchezo kesho, tunafahamu utakuwa mchezo mgumu na kila mchezaji anapaswa kuwa tayari kiakili ili kuweza kuhimili presha ya mchezo, umakini ndio jambo ambalo wachezaji tunapaswa kusisitiza, tunafahamu ukifanya makosa katika mechi muhimu kama hii inaweza kuigharimu timu hivyo ni muhimu sana kuongeza umakini” Dickson Job Ili klabu ya Yanga ifuzu kuelekea hatua ya robo fainali inapaswa kushinda mchezo wa kesho dhidi ya Mc Alger kwani katika kubdi timu hizi zimezidiana point moja huku Mc Alger wakiwa na point 8 na Yanga wakiwa na point 7

Post a Comment

Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.