[theme_section_hidden_section.ReportAbuse1] : Plus UI currently doesn't support ReportAbuse gadget added from Layout. Consider reporting about this message to the admin of this blog. Looks like you are the admin of this blog, remove this widget from Layout to hide this message.
BARAZA la Mitihani lTanzania (Necta) latangaza matokeo ya darasa la saba, ambapo mtihani ulifanyika Septemba 2024.
Akitangaza matokeo hayo jijini Dar es Salaam leo, Oktoba 29,2024, Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Dkt. Said Mohamed amesema kuwa jumla ya watahiniwa 1,230,774 walisajiliwa kufanya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi wakiwemo Wasichana 666,597 sawa na asilimia 54.16% na Wavulana 564,177 sawa na 45.84. Kati ya watahiniwa waliosajiliwa, watahiniwa wenye mahitaji maalum walikuwa 4,583 sawa na asilimia 0.37 na Kati ya watahiniwa 1,230,774 waliosajiliwa, watahiniwa 1,204,899 sawa na asilimia 97.90 walifanya mtihani wakiwemo Wasichana 656,160 sawa na asilimia 98.43 na Wavulana 548,739 sawa na 97.26. BOFYA HAPA KUANGALIA MATOKEO KIDATO CHA PILI 2024