Posts

Mtu yeyote asiye husika katika mchezo wa simba na CS Constatine asisogee Uwanjani

Bruno Kaitaba
Afisa Habari wa Klabu Simba Sc Ahmed Ally, amewaasa mashabiki na wapenzi wa soka kutosogea katika uwanja wa Benjamin Mkapa kuelekea adhabu waliyopatiwa na shirikisho la soka barani Afrika CAF “Kwa kuwa watu wanataka kuiona timu yao pamoja kama tulivyozoea, mdhamini wetu wa michuano ya kimataifa akaona atuandalie kitu cha kutuweka pamoja. Mo ametutengea eneo maalumu la kukutana kuona timu yetu na eneo lenyewe ni Mwembe Yanga lililopo Temeke. Tutakuwepo pale kuanzia saa 5 asubuhi na kutakuwa na screen kubwa vibaya mno, hamjawahi kuiona.” Ikumbukwe kuwa chanzo cha Simba kupewa adhabu hiyo ni mara baada ya kuzuka vurugu zilizojitokeza mala baada ya mchezo uliofanyika disemba 15,2024 katika uwanja wa Mkapa ambapo vurugu hizo zilipelekea kuharibika kwa baadhi ya Miundombinu.

Post a Comment

Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.