MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024

swahiliWisdom

Katibu mtendaji necta Dkt Said A. Mohamed
 akitangaza matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2024 , amesema ufaulu umeongezeka kwa asilimia 3  kulinganisha na mwaka uliopita 2023 na ubora wa ufaulu umeongezeka kwa asilimia 5.6.Aidha amesema wahitimu wote waliofaulu jumla ni 477,262 ambapo 249,078 ni wanawake sawa na asilimia 52 na 228,184 ni wavulana sawa na asilimia 48.Ubora wa ufaulu kwa wanafunzi wa kiume ni asilimia 54 na kwa wanafunzi wa kike ni 46 kwa maana hiyo wanafunzi wa kiume wamefaulu vizuri kuliko wa kike BOFYA HAPA KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024

Post a Comment

Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.